Watu wasiopungua 25 wamethibitishwa kufa nchini China kwa tetemeko la ardhi.Pichani watu wa kitengo maalumu cha uokoaji wakimuwaisha mmoja wa majeruhi hospitalini.Tetemeko hilo limetokea jana Alhamisi katika boda ya Myanma nchini humo,imesemekana majeruhi ni wengi kutokana na tetemeko hilo.