Waziri Mkuu, Mizengo Pinda (wa pili kulia) akiwafariji wananchi walioathiriwa na milipuko ya mabomu katika kambi ya Jeshi la Ulinzi la wananchi wa Tanzania (JWTZ), Gongo la Mboto, Dar es Salaam.