Ni
show kabambe  tarehe 26/november ni kwa ajili ya kudunduliza pesa kidogo kuisaidia upendo foundation inayo fanya shughuli za misaada ya kibinadamu afrika.njoo wewe usimsahau na rafiki yako ili mpate burudani ya pamoja,kiingilio ni sawa na bure maelezo zaidi angalia vizuri hiyo poster hapo juu na ujue jinsi gani ya kuwasiliana na kufika ukumbini hapo.


Ittinizzi.`