Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Balozi wa Shirikisho la Urusi (Russian Federation) Bw. Alexandra Alexandrovich Rannikh baada ya kukutana na kuongea nae leo Ikulu jijini Dar es salaam. Kulia ni mkalimani Bw Nikita Rassokhin. (Picha na Ikulu).