Nahodha wa Stars Henry Joseph (shoto) na nahodha wa Chad, Mahmat Habib kabla ya mchezo.
Kocha wa Taifa Stars Jean Poulsen 'Babu' akiagana na kocha msaidizi wa Chad baada ya kumalizika kwa mchezo.