Full mtiti ulikuwa ukisubiri show ya Suma Lee Sport de Cafe mjini Utrecht.
Walioshindwa kujizuia waliingia na staili tofauti katika nyimbo ya Hakunaga ya msanii Suma Lee. 
Msanii Suma Lee akipata break baada ya makamuzi ya nguvu,Suma Lee alikonga nyonyo za watu kwa kuimba nyimbo zake mpya kibaoo ambazo kila mmoja alizikubali. 
Suma Lee akiwa karibu kabisa na Dj Willie ambaye alikuwa akizipangilia nyimbo vile Suma anataka,mambo yalikuwa mswano ukumbini hapo. 
Kushoto kabisa msanii anayejulikana kwa jina la WAKWELI anayefanya kazi zake nchini Holland akikaribishwa na Suma Lee ili afanye makamuzi.
Makamuzi yaliyopagawisha umati ukumbini.Suma Lee kila mmoja amemkubali na Hakunaga. 
Yani Hakunaga tu  
Ndani ya show ya Suma Lee sister Vicky kushoto,sister Fatma na brother Bachala walikuwepo kutoa some Love.
Yani mambo ya Flash kama kawaida baada ya show kwisha,pichani Suma Lee akipata kumbukumbu na washabiki wake wa nje ya nchini. 
 Kila mmoja alipenda kupiga picha na Suma Lee kama kumpa sapoti na pongezi ya show kali iliyokwenda vyema.
Kama kawaida unapopenda kupiga picha kuna wakati nawe utapigwa picha,pichani Maganga One Blogger mwenye t`shirt nyeupe akipata picha ya pamoja na msanii Suma Lee na wapenzi wengine waliohudhuria kwenye show hiyo.
Suma Lee akiendelea na HAKUNAGA ndani ya Utrecht .
 Waziri wa dhiki na mambo ya ghafla nchini Holland bwana KABILA mwenye mwili mkubwa akipata picha na msanii Suma Lee na mashabiki wengine.
Mwanamama mwenye mapenzi na Suma Lee akuficha hisia zake,brother Chura,Suma Lee na some brotherman walikuwepo.