Jaji mstaafu Mark Bomani (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari baada ya kufungua warsha ya Usimamizi wa Shughuli za Utafutaji, Uchimbaji, Usafirishaji na Uuzaji wa Madini ya Urani nchini jijini Dar es Salaam. (Picha na Yusuf Badi).