Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM wakiongozwa na Mwenyekiti,Rais Dkt. Jakaya Kikwete kuwakumbuka wale woote waliotambulia mbele ya haki kabla ya kuanza kwa kikao hicho leo.
Mwenyekiti wa CCM,Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM leo katika ukumbi wa 'White House' kwenye makao makuu ya CCM mjini Dodoma.
Halmashauri Kuu ya CCM wakiwa kwenye kikao hicho leo katika ukumbi wa 'White House' kwenye makao makuu ya CCM mjini Dodoma.