Baadhi ya wanachama wa Association of Tanzanian Women in Diaspora (ATWID) wakiwa kwenye picha ya pamoja wakati wa sherehe ya kuadhimisha miaka 3 tangu kuzinduliwa kwake rasmi na aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza ambaye kwa sasa yupo nchini Marekani,Mheshimiwa Mwanaidi Sinare Maajar (Mlezi wa ATWID) tarehe 1/11/2008.Sherehe hii ilifanyika kwenye Mgahawa wa Vicent Restaurant,mjini Reading,UK.Chama hicho kinaongozwa na Mwenyekiti,Susan Mzee huku Katibu Mkuu wake akiwa ni Mackrina Kalinga.

Baadhi ya wanachama wa Association of Tanzanian Women in Diaspora (ATWID) wakiwa kwenye picha ya pamoja.