Huu utandawazi una manufaa na una hasara kubwa sana endapo hatutachukua hatua madhubuti katika kuwalinda watoto zetu.wazazi wengi wamekuwa wakiona ni sifa watoto wao wanapotumia Computer,ila hawajui nini kinaendelea baina ya mtoto na matumizi ya computer.sio watoto wote wenye tabia mbaya na matumizi ya computer ila wengi wao wamekuwa wakitumia mawasiliano haya vibaya na kuwaharibia mfumo mzima wa maisha yao,chunga mwanao na mtoto wa mwenzio.ni hayo tu Maganga One.