Holland ni pazuri sana,nilipenda sana baadhi ya maeneo hayo pichani juu.Picha hizi ni mji wa Amsterdam.