Gari la polisi Iringa likiwa limeharibiwa vibaya katika tukio lililomuhusisha mfanyabiashara maarufu wa mjini Iringa Mama Mbilinyi anayetuhumiwa kuwa anaishi na watu wanaodhaniwa kufa. (Picha na Frank Leonard).