Kocha wa Timu ya Taifa Jan Paulsen akizunguza na mashabiki wa soka katika uzinduzi huo.
Mkurugenzi wa Mawasilano SBL Teddy Mapunda akizuingumza na mashabiki wa soka waliojitokeza katika uzinduzi wa kampeni hiyo leo katika soko la Karume kutoka kulia ni Maulid Kitenge mjumbe BMT, Jan Paulsen Kocha Taifa Stars, Dioniz Malinzi Mwenyekiti wa BMT na kushoto ni Leodger Tenga Rais wa TFF. 
Baadhi ya mashabiki wa Soka wakiwa katika uzinduzi huo.