Brigedi Kamanda wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ) Kanda ya Mashariki, Cyril Mhaiki (kushoto) akikabidhi sehemu ya msaada wa vyakula vikavu kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick jijini. (Picha na Fadhili Akida).