Mshambuliaji wa timu ya mkoa wa Iringa, Diana Mwaka akimtoka mlinzi wa timu ya Unguja, Miza Nyange wakati wa mchezo wa ufunguzi wa mashindano ya Castle Lite Taifa Cup 2011 uliofanyika katika Uwanja wa Don Bosco jijini Dar es Salaam jana
Diana Mwaka akichanja mbuga baada ya kumuacha mlinzi wa timu ya Unguja hapo jana katika mchezo wa ufunguzi wa mashindano ya Castle Lite Cup 2011 uliofanyika katika viwanja vya Don Bosco jijini Dar es Salaam.