Timu ya taifa ya (Tanzania Taifa Stars) imefanikiwa kuingia nusu fainali ya Cecafa Cup kwa kuifunga timu ngumu ya Malawi kwa goli 1-0 na hivyo itakutana na timu ya taifa ya Uganga The Cranes.