Wapenzi wa masuala ya michezo wakisoma gazeti jipya la michezo linalotolewa na Kampuni ya Magazeti ya Serikali, TSN, la SPOTILeo lililoingia mitaani kwa kishindo Desemba 12. (Na Mpigapicha Wetu).