Spika wa Bunge, Anne Makinda akizungumza wakati wa uzinduzi wa ripoti ya mwaka ya 2011/12 inayoangalia Masuala ya Maendeleo ya Wanawake kwa miaka miwili iliyopita na kutazama masuala ya sheria na haki za mwanamke. Uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar es Salaam.Walioshika makabrasha hayo ni Mohamedy Kessy (kulia), Rabia Mustapha (kushoto) na Dameck Chacha. (Picha na Robert Okanda).