Mchezaji wa mpira wa kikapu toka timu ya Mkoa wa Iringa , Tuku Subira (Kushoto) na Semeni godwini wa mkoa wa Shinyanga wakiwania mpira wakati wa mashindano ya Castle Lite Taifa cup yanayoendelea kwenye kiwanja cha Leaders  Jijini Dar es Salaam. 
Mchezaji wa mpira wa kikapu toka timu ya Mkoa wa Iringa , Lilian Hermani (Kulia) na Mary Meshack wa mkoa wa Shinyanga wakinyang’anyana mpira wakati wa mashindano ya Castle Lite Taifa cup yanayoendelea kwenye kiwanja cha Leaders  Jijini Dar es Salaam.
Mchezaji wa mpira wa kikapu toka timu ya Mkoa wa Iringa , Morin Syzia (Kulia) akicheza wakati Marry Meshack akijaribu kuzuiya  wakati wa mashindano ya Castle Lite Taifa cup yanayoendelea kwenye kiwanja cha Leaders  Jijini Dar es Salaam.
Mchezaji wa mpira wa kikapu toka timu ya Mkoa wa Iringa , Morine Syzia  wakati wa mashindano ya Castle Lite Taifa cup yanayoendelea kwenye kiwanja cha Leaders  Jijini Dar es Salaam.
Mchezaji wa mpira wa kikapu toka timu ya Mkoa wa Shinyanga , Marry Meshack (Kushoto)akijaribu kumtoka  Morine Syzia  wakati wa mashindano ya Castle Lite Taifa cup yanayoendelea kwenye kiwanja cha Leaders  Jijini Dar es Salaam
 
Hallow Wadau!

Matokea yamekuwa kama ifuatavyo

 Shinyanga vikapu 51 Iringa 27

Nawatakia michezo mema.

Innocent Melleck