Mwandishi mwandamizi, Jerry Muro na mkewe, Jennifer John, wakiondoka kwa mbwembwe kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya mahakama hiyo kumwachia huru katika kesi ya kula rushwa iliyokuwa ikimkabili pamoja na wenzake.