Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na wafuasi na wapenzi wa Chama hicho katika mkutano wa hadhara uliofanyika kiwanja cha Kwa Geji, kijichi jimbo la Bububu
Wafuasi na wapenzi wa CUF wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad katika mkutano wa hadhara uliofanyika kiwanja cha Kwa Geji, kijichi jimbo la Bububu.
Wafuasi na wapenzi wa CUF wakishangilia wakati Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika kiwanja cha Kwa Geji, kijichi jimbo la Bububu.
Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho Ismail Jussa Ladhu (kulia0, aliyekuwa mgombea wa uwakilishi jimbo hilo Issa Khamis Issa (kushoto), pamoja na wasomaji wa utenzi mara baada ya mkutano wa hadhara uliofanyika kiwanja cha Kwa Geji, kijichi jimbo la Bububu.
Naibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar Ismail Jussa Ladhu akizungumza na wafuasi na wapenzi wa Chama hicho katika mkutano wa hadhara uliofanyika kiwanja cha Kwa Geji, kijichi jimbo la Bububu.