Basi la mabingwa wa soka Tanzania nzimaDar es Salaam Young African.
                               Basi la Simba SC.

Mabasi haya yametolewa kwa Klabu za Simba na Yanga kutoka Kampuni ya TBL ikiwa ni sehemu ya udhamini wake kwa timu hizo.