Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu jijini Dar es Salaam Rais Mstaafu wa Msumbiji, Joachim Chissano na kufanya nae mazungumzo.
Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Rais Mstaafu wa Msumbiji, Joachim Chissano (wa pili kushoto) pamoja na katibu mkuu wa Jumuiya ya Uchumi Kusini mwa Afrika (SADC) Dr. Thomas Salomao ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
(Picha na Freddy Maro-IKULU)