Kumekuwa na vurugu za hapa na pale, Polisi kupambana na vijana kwenye kituo cha kupigia kura wakati wa uchaguzi mdogo kumchagua Mwakilishi wa jimbo la Bububu Zanzibar jana. (pichani juu) Polisi wa kuzuia ghasia wakisaidiwa na kikosi cha Valantia kuwaondoa vijana waliojikusanya karibu na kituo cha kupigia kura kwenye Shule ya Bububu.Picha zote na Martin Kabemba.