Washindi wan ne wa kwanza wa Redd’s Miss Temeke ambao wote wamepata nafasi ya kushiriki shindano la Taifa la Redd’s Miss Tanzania wakiwa wameshikilia vitita vyao mara baada ya kukabidhiwa jana na mwandaaji wa mashindano hayo, Benny Kisaka. Kwanza kulia mshindi Edda Slyvester, Flavian Maeda, Catherine Masumbigana na Jesca Haule.

Mkurugenzi wa BMP Promotions inayoandaa Redd’s Miss Temeke, Benny Kisaka (Kushoto) akikabidhi Sh. Laki 8 kwa mshindi wa pili wa shindano hilo, Flavian Maeda.

Mkurugenzi wa BMP Promotions inayoandaa Redd’s Miss Temeke, Benny Kisaka (Kushoto) akikabidhi Sh. Laki 7 kwa mshindi wa tatu wa shindano hilo, Catherine Masumbigana.