MAJENGO ya historia nchi China Mjini Beijing  ambayo hutembelewa na Wananchi wengi wa china ili kukuza Utalii wa ndani. hutembelea na kupata historia ya majengo hayo ikiwa ni moja ya kukuza  utamaduni. Nao Waandishi wamepata fursa kutembelea sehemu hiyo.  
 MAOFISA habari wakiangalia moja ya majengo yalioka katika kijiji hicho cha historia mjini beijing china.
 MAOFISA habari wakipiga picha ya kumbukumbu katika moja ya maelezo ya jengo lilioma katika eneo hilo hutembelewa na Wananchi wengi na kupata historia yake na kupiga picha za kumbukumbu.
Afisa Habari huyu alishindwa kujizuiya na kujumuika na Msanii kucheza ngoma ya utamaduni wa nchi wakati wakiwa katika kutembelea kijiji hicho cha historia Beijing.