Assalam aleykum..Baada ya kumshukuru Allah s.w na kumtakia rehema na amani Mtume wetu Mohammad s.a.w. tunashukuru alhamdulillah kwa uwezo wa Allah s.w
. tumefanikiwa kufunga mwezi wa Ramadhani salama salmini.Leo ni sikukuu yetu ya Eid El Fitr hivyo tunapenda kuwapa salamu za dhati na ndugu zetu waislamu wenzetu popote walipo duniani...
Pichani ni baadhi ya wana MOL wakipata picha ya pamoja baada ya kusali Eid leo asubuhi.Wana Mol tunasema Eid Mubarak kwa waislam wote popote walipo duniani.