VOLKSHUIS

Assalam Aleykum.Wakazi wa  Mol nchini Ubelgiji wanatoa mualiko kwa watu wote kujumuika pamoja katika kusheherekea sikukuu ya Eid El Hajj siku ya jumamosi tarehe 04/10/2014.
Sherehe hizi zitafanyika palepale Mol na jinsi ya kufika  ukumbini ni rahisi sana.Ukishuka kwenye treni Mol station ni mwendo wa dakika 8 kwa watembea kwa miguu.
Address ni hii
Rozenberg 115
2400-MOL

Jina la ukumbi ni HET VOLKSHUIS.

Watu wote mnakaribishwa..

MUHIMU
Sherehe zitaanza rasmi saa 15:30 na kumalizika saa 20:00.
Jitahidi kuzingatia muda ili kurahisisha ufanisi wa maisha.