Mkurugenzi wa Lino Angency
International Ltd Hashim Lundenga
Hivi Karibuni kulifanyika mashindano ya kumsaka Mrembo wa Tanzania kwa
mwaka 2014 (Miss Tanzania 2014) ambapo Sitti Mtemvu alitangazwa kuwa
mshindi.
Baada ya kutangazwa Huko, kukawa after mambo Mengi yaliyosemwa
kumhusu. Kuanzia tetesi Sat kuwa kadanganya Umri Mpaka elimu. Kuwa Kuna
rushwa ilitumika Mpaka kusemwa ana Mtoto.
Mkurugenzi wa Lino Angency
International Ltd Hashim Lundenga, anazungumza after mitandai ya Vijimambo
After Kwanza Production kuweka Bayana
Karibu