Assalam Aleykum.
Nawatakia kila la heri katika kusheherekea sikukuku siku ya leo..kwa wakazi wa Ubelgiji,Holland,France,Luxembourg na Uk tunawakaribisha sana tujumuike pamoja katika siku hii tukufu.

Jinsi ya kufika ukumbini anuani ni kama ifuatavyo:
Rozenberg 115
2400 - Mol
Belgium.
Watu wote mnakaribishwa,sikukuu itaanza rasmi saa tisa na nusu.