Mashabiki na wapenzi wa timu ya Yanga wakiendelea kuangalia mpira kwa makini hapo jana katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Timu hizo zilitoka sare hapo jana.

Mmoja wa wachezaju wa Simba akijaribu kuwadhibiti wachezaji wa timu ya Yanga hapo jana katika uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam

Mchezajiwa timu ya Dar es Salaam Young African akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa Simba hapo jana.