Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akifungua maji kama ishara ya
kuzindua huduma za maji kwa wakazi wa kijiji cha Mpigamiti, mradi huo
utahudumia vijiji vingine viwili vya Namakololo na Mitawa ambapo wakazi 
zaidi ya 6000 watafaidika na mradi huo. 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimtwisha ndoo ya maji Bi.Hadija
Sheweji  mkazi wa kijiji cha Mpigamiti mara baada ya kukagua mradi wa
maji.

Katibu mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa ofisi ya CCM
kata ya Mangirikiti wilayani Liwale mkoa wa Lindi.