Papa Francis akisalimiana na Rais wa Kenya, Mh. Uhuru Kenyatta wakati alipowasili nchini Kenya leo ambapo atakuwa na ziara ya siku sita katika nchi za Afrika. Kushoto ni Mke wa Rais Magret Kenyatta.

Papa Francis akisalimiana na mke Rais wa Kenya, Magret Kenyatta wakati alipowasili nchini Kenya leo ambapo atakuwa na ziara ya siku sita katika nchi za Afrika. pembeni ni Rais Uhuru Kenyatta