Sio kwamba kukaa nje kwa walimu hawa ni joto au wanapenda ila ni shida au upungufu wa ofisi za walimu ndio tatizo kubwa linalotukabili nchini.Hali hii sio kama itashindwa kwisha endapo jitihada za makusudi zikitumika kwa viongozi wetu.Wakuu wetu wa wilaya,mikoa,madiwani,wabunge na mawaziri tafadhalini sana tunawachagua hili baadhi ya matatizo mtutatulie jamani,tunajua yote hamuwezi ila kama hili linawezekana kabisa,kumbukeni bila walimu hawa nyinyi nanyi msingekuwepo hapo mlipo.