Kwa wanaoijua vizuri kona hii nafikiri watakuwa wameguswa kidogo.Hii ni kona ya pale Kitonga,mlima huu ni hatari sana kwa madereva wazembe.