Nyuma ya ofisi hizo za magari ukiangalia vizuri utaona Milima mizuriii ya kuvutia.Morogoro ni mji mdogo sana unavutia sana kwa hali ya hewa yake toka milimani.Pichani wafanya biashara wadogowadogo wakijitafutia riziki kwa jasho lao.