Baada ya ukimya wa muda kiasi fulani mwanamuzi mwenye sauti ya kutoa nyoka pangoni,Shaabani Katwila(Q-CHIEF) amesema anakuja kivingine kwa kuja kuwaburudisha wapenzi wake.Q-Chief anasema anakuja na albamu yake mpya inayokwenda kwa jina la DREAM,Kwa wapenzi wa Q-Chief kaeni tayari kwani mipango yote ya Album imeshakamilika.Pichani Q-Chief kushoto akiteta na TID juu ya mambo ya muziki.