Kama ilivyoada kwa dini ya Kiislam unapofika sehemu tukufu ya kufanyia Ibada lazima ufae vizuri na kufuata taratibu zote kama utakavyofundishwa.Pichani Malkia wa Uingereza Elizabeth II akiwa ndani ya msikiti wa Abu Dhabi alipofanya ziara nchini humo.