Machine unayoiona hapo pichani ina vinywaji vingi sana kama unavyojionea,unapotaka kinywaji ukipendacho unatumbukiza pesa halafu unachagua kinywaji chako unabonyeza kitufye kinywaji chako kinaanguka chini ya mashine kwa ndani wewe unanyoosha mkono wako ndani yake na kukichukua kisha kama kuna chenji unadai ni mashine yenyewe inakurudishia chenji.Hii nimeona ni bora niwarushie nanyi kama wasiojua wajue kuna kitu kama hii na kama wanaojua waendeleze kuwajulisha wasiojua.Kaka Itangigomba kule Arusha,na Maganga One wa Mwanza Lake Victoria,na Mzee mzima Deo wa Makerere pale Kampala mambo ya wenzetu hayooo.
1 Comments
Mdau Kampala