Toka miaka ileee mimi mduuuchu haya mabehewa yapo mpaka leo,na hii staili ya kupitia madirishani wakati milango ipo na mipana ya kutosha kupita watu vizuri tu,sasa sijui ni kasumba ya ndugu zetu wa Kule kwa muheshimiwa Mbuge wa Chadema au ndio mila zao!!Ndugu zangu Waha mnaweza kunisaidia hapoo?
0 Comments