MUNGU ASIFIWE!!
HABARI ZENU WAKUBWA NA WADOGO,WAKE NA WAUME,VIJANA NA WAZEE.NACHUKUA FULSA HII KUWAPA SALAM ZANGU ZA CHRISTMAS KWA WAUMINI WOTE WA KIKRISTO DUNIANI KOTE MLIPO,NIMEKUWA NANYI KATIKA KIPINDI KIZURI KATIKA KUPASHANA,KUELIMISHANA NA KUBURUDISHANA MAMBO NA HABARI TOFAUTITOFAUTI AMBAZO ZIMEKUWA ZIKIJIRI SIKU HADI SIKU.NIMEKUWA NIKIPATA CHANGAMOTO MBALIMBALI,MAWAZO MBALIMBALI NA HABARI MBALIMBALI JUU YA HII BLOG YETU YA MAGANGA ONE.NAWASHUKURU SANA KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE KATIKA KUWEKANA SAWA ILI KUBORESHA NA KUENDESHA KAZI ZETU,TULE SIKUKUU VIZURI NA KUOMBA MUNGU SANA KWA MWAKA UJAO ILI MAMBO YETU YAWE MAZURI ZAIDI.NAWAOMBA SANA TUSHIRIKIANE VYEMA ILI BLOG YETU IJE VIZURI MWAKA 2011,HERI YA KRISMAS KWA KILA MKIRISTO DUNIANI.Ahsanteni sana.