Beyonce ni mdada wenye mafanikio makubwa sana katika fani hii ya muziki na hana maringo kama wasanii wetu wenye kujisikia hata kama hawana mafaniko makubwa.Hii sio nzuri kwa vizazi vyetu.
Kama ukiwafuatailia wasaani hawa utazipenda tabia zao,ni tofauti na wasanii wengine wenye skendo za Ngono.Pichani mwanadada Celine dion kushoto na Beyonce Knowles wakila Flash katika moja ya matukio yao muhimu siku za nyuma.
0 Comments