Siku zote wazalendo huwa hawafi nyoyo zao na timu ya Taifa,Taifa Stars,hili sio mtiti bali ni Nyomi la nguvu...Taifa Star ilipofanya maajabu ya kuibanjua timu ya taifa ya Uganda'tha Crane' kwa kuifunga goli 5-4 kwa ushindi wa matuta.Uwanjani hapo ilikuwa full shangwe mpaka raha kwa kweli.Kwa matokeo hayo timu ya Taifa imekwenda moja kwa moja Fainali katika mashindano ya CECAFA,itakutana na nani fainali?jibu hili utalipata hapahapa Maganga One Blog usicheze mbali.