Ni wanaume wangapi dunia ya leo wanaowasaidia wake zao kazi za nyumbani?Iwe kupiga deki,kuosha vyombo na hata kazi za jikoni,au mwanamke ndio chombo cha kutumia tu?Wanaume tusaidie wake zetu kwani wao ni moja ya viungo vyetu muhimu katika maisha yetu ya kila siku na tusipowatumia vyema kwa kuwalimbikia kazi zote wao tunakuwa hatuwatendei haki za msingi.Mwanamke ni kiumbe muhimu na chenye thamani.
0 Comments