Hata kama nyumba yako haifanani na hii nazungumzia suala la usafi,je maeneo ya nyumba yako ni masafi kama haya?kama sio kwa nini?na kama ni ndio je jirani yako ni msafi kama wewe?jibu hapana,na hapana kwa nini? Jamani tujitahidini masuala ya usafi,usafi ni mzuri kwa afya zetu.