Unaweza kujiuliza wazungu wanakijuaje Kipindupindu? Jibu ni kwamba,kila ugonjwa wenye jina la kizungu basi ujue ugonjwa huo ulishafahamika toka zamani.Kwetu Africa watu wengi hufa kirahisi sana kutokana na Ugonjwa huo na hii usababishwa na mazingira tunayoishi.Inzi anapotoka chooni kula kinyesi na kuja kutua juu ya embe dodo lako nawe kula pasipo kujua,Ujue lazima utapata maradhi kama hayo.Mara nyingi Inzi ndio kichocheo kikubwa sana cha maradhi ya Kipindupindu.Waafrika kwa ujumla tuchukue sana tahadhali juu yetu na watoto wetu kuhusu suala zima la usafi wa mikono tunapotoka chooni na kuangalia vyakula vyetu.
0 Comments