Pichani Bidada Leyla akiwa amekula Pozi na kuonyesha utanashati wake,Blog yetu ilipomuhoji bidada huyo juu ya urembo wake alitujibu "Chuchu Bella Chuchu"tulipohoji nini maana ya Chuchu Bella Chuchu? Alitujibu kamuulizeni mama...Nilipomuuliza mama yake alinipa maana halisi ya neno Chuchu Bella Chuchu!!Haya wadau mnajua maana ya Chuchu Bella Chuchu?mwenye jibu..
0 Comments