Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Kikosi cha Wanamaji, wakipita kwa heshima mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi (SMZ), Dk. Ali Mohammed Shein, wakati wa maadhimisho ya miaka 47 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika jana kwenye Uwanja wa Amaan, Unguja.
0 Comments