Baada ya ghasia zilizodumu kwa mwezi mmoja nchini Tunisia, Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Mohamed Ghannouchi, ametangaza kumfukuza kazi Waziri wa mambo ya Ndani, Rafik Belhaj, na kuwaachlia huru wale wote waliokamatwa kutokana na ghasia hizo.Pichani wananchi wakiwa wanaendelea na ghasia hizo.
0 Comments