Imesemekana nchini Belgium mpaka kufikia mwaka 2018 tein ziendazo kasi chini ya ardhi(Metro) zitakuwa zikijiendesha zenyewe bila kuwa na dereva.Mfanyabiasha mkubwa bwana Alain Flausch mwenye kuendesha biashara ya usafiri nchini hap alisema hayo kuwa treni hizo zitaweza kujiendesha na kupita kwenye kila kituo kila baada ya dakika mbili.Haya maendeleo ya wenzetu hayoo!!kazi kwetu na mgao wetu.
1 Comments